Ijumaa, 20 Juni 2014

AJALI AJALI

AJALI YA ROLI YATOKEA ENEO LA KINYEREZI/UKONGA NA KUNG'OA DARAJA,WAKAZI WA HUKO MNASHAURIWA KUTUMIA NJIA YA SEGEREA



 Roli likiwa limedondoka pamoja na Daraja Eneo la Majumba sita
 Wakazi wa Eneo hilo wakitazama ajali hiyo iliyotokea jioni ya leo
 Kama Unavyoona Roli limeng'oa daraja na kudondoka hivy njia haipitiki



Wakazi wakinyerezi poleni tumieni ya segerea na mongolandege hili la majumbasita limekua hiviii.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni