Jumatatu, 23 Juni 2014

MKE WA MTU SUMU...

AMA kweli duniani kuna vituko! Mkazi wa Mtaa wa Lagos, Wazo Mivumoni, Msitu wa Pande jijini Dar es Salaam, Nuru Makala ‘Baba Eliza’ (42) Jumatano iliyopita alikumbwa na majanga baada ya mwanaume aliyejulikana kwa jina la Yusuf Ally ‘Mgosi wa Ndima’ kudai amemfumania Baba Eliza akiwa na mkewe ambaye jina halikupatikana.
 
Mgoni, Nuru Makala ‘Baba Eliza’ (42) aliyefumaniwa akiwa na mke wa mtu (jina halikupatikana).

.
 
Mke wa Bw. Yusuf Ally ‘Mgosi wa Ndima’ akiondolewa eneo la tukio.


 
Mgoni akijisafisha uchafu mara baada ya fumanizi .


 
...akivaa nguo.

 
...Mgoni akiomba msamaha.

 
...Timu ya Sungusungu iliyoandaliwa kufichua uovu uliokuwa ukiendelea ikimbana mtuhumiwa kwa maswali.

 
...Raia aliyeshuhudia mkasa huo akionesha sehemu ya kitanda  iliyochafuliwa na mgoni kwa kinyesi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni